1.Edward Ngoyai lowasa 2.Bernard Membe 3.Asharose migiro 4.Makongoro nyerere 5.Augustino Ramadhanitunasisitiza amani ya chama na amani ya nchi naamini tunapoelekea wataenda kutenda haki na haki itazngatiwa na tutazngatia maoni ya wananchibpia wanahitaji nini nitoe lai tuu kuwaomba baada ya kupata futari basi wajumbe watarudi tena katika mkutano baada ya masaa kadhaaa kusikiliza kama hakuna ridhiko hapo lakini.mpaka sasa tulipofikia ni hapo na tutazidi kujulishana tunazidi kuhamasisha amani ya nchivna amani ya chama Nape N k/mwenezi PAMOJA TUTASHINDA KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Saturday, July 11, 2015
Tano bora ya chama cha mapinduzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment