TAARIFA KWA UMMA
WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT MUJIBU WA SHERIA
MWAKA 2021
Sunday, May 29, 2022
TAARIFA KWA UMMA WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2021
Sunday, May 15, 2022
Kuingia katika Mfumo kukamilisha maombi ya sensa
Baada ya kujisajili katika mfumo wa kuomba maombi ya sensa unatumia email na neno siri ambalo unaweza ukaingia katika mfumo ili kukamilisha maombi ya sensa kwa kupakia fomu ambayo imesainiwa na kufanya mabadiliko ya taarifa zako.ili kuingia katika mfumo unatakiwa uandike taarifa zako za email na neno siri kwa umakini haswa katika upande wa neno siri kwani kuna mfanganyiko wa herufi na tarakimu mbalimbaili mfano EF!@hgh%-yu hizi ndo zinawachanganya watu katika kuiziandika na kukosea.
Cha kufanya ni kuingia katika email yako na kukopi hilo neno siri mfano EF!@hgh%-yu alafu kufungua mfumo mfumo wa sensa na kuanza kujaza email yako kisha upande wa password kuweka zile ulizokopi kupitia email yako(kupesti neno siri) alafu kubonyeza neno ingia.
LIVERPOOL win FA cup 2022
Liverpool prove that is still a giant team in England after beat up Chelsea in Final Yesterday FA CUP season 2021/2022.The match was tough in all side despite of Liverpool striker Mo Sala injured still Liverpool player perform the outmost regardless the fact Luis Diaz perform well, the match was Fantastic and entertainment. Still Liverpool needed to be prepared for Final UEFA with Real Mardid the Unrealistic Giant of all time UEFA mafia Taker and runner all final.
Subscribe to:
Comments (Atom)