Saturday, July 09, 2022

Angalia Matokeo ya form six 2022

Hizi ndio shule kumi bora 2022

  1. Kemebos Sekondari, Kagera
  2. Kisimiri Sekondari Arusha
  3. Tabora Boys Sekondari Tabora
  4. Tabora Girls Tabora
  5. Ahmes Sekondari Pwani
  6. Dareda Sekondari Manyara
  7. Nyaishozi Sekondari, Kagera
  8. Mzumbe Sekondari Morogoro,
  9. Mkindi, Tanga
  10. Ziba, Tabora

Kuangalia matokeo ya fomu six bonyeza hapo chini

Matokeo form six 2022 

Sunday, May 15, 2022

Kuangalia matokeo kupangiwa kwa form 5 2022

 Form five selection

Kuingia katika Mfumo kukamilisha maombi ya sensa

 Baada ya kujisajili katika mfumo wa kuomba maombi ya sensa unatumia email na neno siri ambalo unaweza ukaingia katika mfumo ili kukamilisha maombi ya sensa kwa kupakia fomu ambayo imesainiwa na kufanya mabadiliko ya taarifa zako.ili kuingia katika mfumo unatakiwa uandike taarifa zako za email na neno siri kwa umakini haswa katika upande wa neno siri kwani kuna mfanganyiko wa herufi na tarakimu mbalimbaili mfano EF!@hgh%-yu hizi ndo zinawachanganya watu katika kuiziandika na kukosea.

Cha kufanya ni kuingia katika email yako na kukopi hilo neno siri mfano EF!@hgh%-yu alafu kufungua mfumo mfumo wa sensa na kuanza kujaza email yako kisha upande wa password kuweka zile ulizokopi kupitia email yako(kupesti neno siri) alafu kubonyeza neno ingia.



LIVERPOOL win FA cup 2022

 

Liverpool prove that is still a giant team in England after beat up Chelsea  in  Final Yesterday FA CUP  season 2021/2022.The match was tough in all side despite of Liverpool striker Mo Sala injured still Liverpool player perform the outmost regardless the fact Luis Diaz perform well, the match was Fantastic and entertainment. Still Liverpool needed to be prepared for Final UEFA with Real Mardid  the  Unrealistic Giant of all time UEFA  mafia Taker and runner all final.



Friday, January 07, 2022

Spika ndugai ajiuzulu uspika

Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai amejiuzulu wadhifa wake jana Alhamisi tarehe 6 Januari 2022. Kwa mujibu wa barua aliyomuandikia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema uamuzi huo wa kuachia nafasi hiyo ameufanya kwa hiari. "Naomba kutoa taarifa kwa umma wa Watanzania kuwa jana Tarehe 06 Januari 2022 nimeandika barua kwenda kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujiuzulu nafasi ya Spika wa bunge la Jamhuri .." imesema sehemu ya taarifa hiyo nakuongeza; "Pia nakala yangu hiyo ya kujiuzulu nimewasilisha kwa katibu wa Bunge kwa ajili ya hatua stahiki kwa mujibu wa katiba ya nchi na sheria nyingine" amesema Ndugai kwenye taarifa yake kwa umma. Ndugai ambaye ni mbunge wa Kongwa amesema anawashukuru wabunge, Rais Samia Suluhu Hassan, Serikali, wananchi wa Jimbo la Kongwa na Watanzania wote kwa ushirikiano waliompa kipindi akiwa Spika