Wednesday, November 18, 2020

AFRIMMA 2020 FULL WINNERS LIST

AFRIMMA is the biggest African music award ceremony in Diaspora that creates a platform to promote the diversity of African music. Every year, top African talents across the world come on the same stage to celebrate African culture and music. However, this year due to impact of the pandemic the award had to go virtual and it was an outstanding success. Check out full winner’s list below. 

AFRIMMA 2020 FULL WINNERS LIST

BEST MALE WEST AFRICA – Rema (Nigeria)

BEST FEMALE WEST AFRICA – Simi (Nigeria)

BEST MALE EAST AFRICA – Diamond Platnumz (Tanzania)

BEST FEMALE EAST AFRICA – Nandy (Tanzania)

BEST MALE CENTRAL AFRICA – Fally Ipupa (DRC)

BEST FEMALE CENTRAL AFRICA – Soraia Ramos (Cape Verde)

BEST MALE SOUTHERN AFRICA – Master KG (South Africa)

BEST FEMALE SOUTHERN AFRICA – Sho Madjozi (South Africa)

BEST AFRICAN GROUP – Umu Ibiligbo (Nigeria)

CROSSING BOUNDARIES WITH MUSIC AWARD – Burna Boy (Nigeria)

BEST NEW ACT– Zuchu (tTanzania)

ARTIST OF THE YEAR – Master KG (South Africa)

BEST GOSPEL ARTIST – Mercy Chinwo (Nigeria)

BEST LIVE ACT – Flavour (Nigeria)

BEST MALE RAP ACT – Nasty C (South Africa)

BEST FEMALE RAP ACT – Eno Barony (Ghana)

BEST COLLABORATION – Master KG ft Nomcebo Zikode & Burna Boy Jerusalema Remix

SONG OF THE YEAR – Master KG ft Nomcebo Zikode – Jerusalema

BEST VIDEO DIRECTOR – TG Omori (Nigeria)

BEST DJ AFRICA – Cuppy (Nigeria)

BEST AFRICAN DJ USA – Fully Focus (Kenya)

VIDEO OF THE YEAR – Gaz Mawete ft Fally Ipupa – C’est Rate

PRODUCER OF THE YEAR – Kabza De Small (South Africa)

BEST AFRICAN DANCER – Poco Lee (Nigeria)

BEST LUSOPHONE – Calema (Cape Verde)

BEST FRANCOPHONE – Fally Ipupa (DRC)

BEST RADIO/TV PERSONALITY – James Onen (Uganda)

Thursday, August 13, 2020

UEFA RESULT PARIS YAFUZU BAADA YA KUIFUNGA ATALANTA 2-1

PARIS VS ATLANTA

Bernard Morrison AShinda kesi

MORRISON ASHINDA KESI YAKE DHIDI YA YANGA  
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema Bernard Morrison ameshinda kesi yake dhidi ya Yanga Sc na ataendelea kuwa mchezaji huru baada ya mapungufu kukutwa kwenye mkataba baina ya Yanga Sc na Morrison. 

Saturday, August 08, 2020

Tuzo za VPL 2020


Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)
Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Tanzania Bara, ziliuzuliwa na Mgeni rasmi  ambaye alikuwa  Waziri wa TAMISEMI, Suleiman Jaffo akiwa pamoja na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa ajili ya utoaji wa tuzo hizo jana  Agosti 7, 2020. 
Tuzo zilitolewa kwa wachezaji, makocha na waamuzi bora wa ligi hiyo katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
Hii ndiyo orodha ya washindi wa tuzo hizo.
Tuzo ya mfungaji bora wa Ligi Kuu na kiasi cha hundi ya Fedha (10,000,000) imechukuliwa na Meddy Kagere, na kupokelewa na Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu. 


Mshindi wa kwanza wa Ligi Kuu Vodacom ambayo Klabu ya Simba wamelamba zawadi ya Milioni Mia Moja

Mshindi wa pili ni Klabu ya Yanga wao wamepata zawadi ya Shilingi milioni 45
Mshindi wa Tatu ni Azam Fc ambao wao wamepata zawadi ya Shilingi milioni 30.
Washindi wa Nne ni timu ya Namungo wao wamepata zawadi ya Shilingi milioni  Kumi.

Tuzo ya mchezaji bora chipukizi imekwenda kwa Novatus Dismas wa Biashara United akiwashinda Kelvin Kijiri wa KMC na Dickson Job wa Mtibwa Sugar.

Tuzo ya kocha bora imekwenda kwa Sven Vandenbroeck wa Simba akiwashinda Hitimana Thierry wa Namungo FC na Aristica Cioaba wa Azam FC na.

Tuzo ya golikipa bora imekwenda kwa Aishi Manula wa Simba akiwashinda Daniel Mgore wa Biashara United na Nouridine Balora wa namungo FC.

Ramadhan Kayoko wa Dar es Salaam ndiye mwamuzi bora wa msimu akiwapiku Ahmed Arajiga wa Manyara na Abdallah Mwinyimkuu wa Singida.

Nico Wadada kutoka Azam FC ndiye beki bora wa msimu, akiwapiga chini David Luhende wa Kagera Sugar na Bakari Mwamnyeto kutoka Coastal Union.

Clatous Chama kutoka Simba SC ndiye mchezaji bora wa msimu akiwashinda Bakari Mwamnyeto wa Coastal Union na Nico Wadada wa Azam FC.

Tuzo ya mwamuzi bora msaidizi imekwenda kwa Frank Kombe wa Dar es Salaam akiwapiku Abdulaziz Ally wa Arusha na Hamdan Said wa Mtwara.

Tuzo ya kiungo bora imekwenda kwa Clatous Chama wa Simba SC akiwashinda Lucas Kikoti wa Namungo FC na Mapinduzi Balama wa Yanga.

Timu yenye nidhamu bora msimu wa Ligi Kuu 2019/2020 imechukuliwa na Kagera Sugar.

TUZO YA HESHIMA: Tuzo hii imetolewa kwa Sunday Manara ‘Computer’, ambaye amekabidhiwa hundi ya Sh Milioni 3 kutokana na kuwa Mchezaji wa Kwanza kutoka Tanzania kucheza Barani Ulaya

Friday, July 24, 2020

Tanzia Tanzia Mh.Benjamin mkapa atunae tena ametutoka leo,mungu ailaze pema p

Raisi mstaafu Benjamin Mkapa  anatarajiwa kuzikwa Jumatano tarehe 29 mwezi huu kijijini kwake Lupaso mkoani Mtwara

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuanzia siku ya Jumapili, Watanzania wote watapata fursa ya kushiriki shughuli za kuaga zitakazofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es Salaam.
Shughuli za kumuaga mzee Mkapa zitafanyika kwa siku tatu mfululizo kuanzia tarehe 26 mpaka tarehe 28, kuanzia Jumapili mpaka Jumanne.
Siku ya Jumapili kuanzia saa nne asubuhi, Kanisa Katoliki litaongoza misa ambayo wakazi wa Dar es Salaam na nje ya mji huo watapata fursa ya kuaga mwili baada ya misa na zoezi hilo litaendelea siku nzima mpaka siku ya Jumatatu siku nzima pia itatumika kwa shughuli hiyo.
Waziri Majaliwa amesema siku ya Jumanne tarehe 28 itakuwa siku ya kuaga kitaifa ambapo viongozi mbalimbali wa serikali nchini , viongozi wa dini, na wananchi.
Baada ya zoezi hilo majira ya alasiri mwili wa Kiongozi mstaafu wa taifa hilo utasafirishwa kwenda wilayani Masasi.
Mwili wa marehemu utatua katika uwanja wa ndege wa Nachingwea na kutoa fursa kwa wakazi wa eneo hilo kuaga mwili wa marehemu.

Monday, June 29, 2020

Maalim Seif, ametangaza nia ya kugombea urais wa Zanzibar(ACT))

Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa nchini Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad, ametangaza nia ya kugombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.


Thursday, April 16, 2020

corona update16 april 2020

COVID-19 CORONAVIRUS PANDEMIC
Last updated: April 16, 2020, 01:27 GMT

Coronavirus Cases:

2,083,048

Deaths:

134,603

Recovered:

510,187
ACTIVE CASES
1,438,258
Currently Infected Patients
1,387,116 (96%)
in Mild Condition
51,142 (4%)
Serious or Critical
Jan 22Mar 18Jan 30Feb 07Feb 15Feb 23Mar 02Mar 10Mar 26Apr 03Apr 1101M2M
Show Statistics
CLOSED CASES
644,790
Cases which had an outcome:
510,187 (79%)
Recovered / Discharged
134,603 (21%)
Deaths
Feb 02Mar 15Feb 09Feb 16Feb 23Mar 01Mar 08Mar 22Mar 29Apr 05Apr 120%100%
Show Statistics

Confirmed Cases and Deaths by Country, Territory, or Conveyance

The coronavirus COVID-19 is affecting 210 countries and territories around the world and 2 international conveyances. The day is reset after midnight GMT+0. The list of countries and territories and their continental regional classification is based on the United Nations Geoscheme. Sources are provided under "Latest Updates"Learn more about Worldometer's COVID-19 data
Highlighted in green
= all cases have recovered from the infection
Highlighted in grey
= all cases have had an outcome (there are no active cases)
The "New" columns for China display the previous day changes (as China reports after the day is over). For all other countries, the "New" columns display the changes for the current day while still in progress.