Algeria ameibuka bingwa katika fainali iliyochezwa dhidi dhidi ya senegal kwa kuwaburuza senegal kwa goli moja kwa bila mchezo huo ulichezwa katika uwanja wa cairo international.
Friday, July 19, 2019
Thursday, July 18, 2019
Fainali ya Afcon kati ya Algeria vs Senegal tarehe 19 july 2019
Fainali ya Afcon kati ya Algeria vs Senegal tarehe 19 july 2019
Hatimaye Senegal yamaliza machungu yake kwa Tunisia kwa kupambana kwa kufa na kupona kuanzia mwanzo wa mchezo dakika za mwanzoni adi dakika Tisini zilipoisha na kwenda Dakika mia ishirini katika dakika hizo walifanikiwa kupata goli la kuongoza ambalo Tunisia walijifunga wenyewe,hii ndio ikawafanya waingie fainali,Pia katika upande wa pili wa Algeria nao mpambano wao dhidi ya nigeria ulikuwa mkali lakini kwa uwezo na kujiandaa vizuri algeria waliibuka kifua mbele dhidi ya nigeria kwa kuwafunga nigeria mbili kwa moja.mwishowe Senegal na algeria walifuzu kuingia fainali ambayo itafanyika tarehe 19 mwezi wa saba mwaka 2019, Misri.
Subscribe to:
Comments (Atom)